FT: Ligi Kuu Bara | KMC FC 1-3 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba 26/12/2022

Zimbe ana tatizo hilo muda mrefu ndio anaufanya beki ya kati ipanguke kmc wangekuwa wajanja wangepitia hukohuko

Kumkaba kijiri inahitaji umakini sana,jamaa ana spidi kali sana ..simlaumu zibwe alizidiwa na kijiri na sio zimbwe tu angalia mechi zote za kmc Kijiri huwa hakamatiki
 
Yaan zile mechi 2 ingekuwa tumeshinda mbeya city na kagera tungekuwa mbali sana ligi bado ila inabidi vitimu vidogo vidogo hakuna kuvionea huruma ni kuvidunda hawa kima utopolo hatuna shaka nao kama wanafungwa na ihefu inamaaanisha bado anaweza fungwa tu
 
Wafunge wewe sio uwasakizie wenzako wakufanyie kazi
 
Kumkaba kijiri inahitaji umakini sana,jamaa ana spidi kali sana ..simlaumu zibwe alizidiwa na kijiri na sio zimbwe tu angalia mechi zote za kmc Kijiri huwa hakamatiki
Tena ni backup nzuri ya kapombe akijiongeza kupiga Kross vizur mara nying nimemuona ana Kasi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…