BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Acha alale tu waje wautoe huo mwiko hapo nyumaWashakuangusha tayari, ushanyanyuka wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha alale tu waje wautoe huo mwiko hapo nyumaWashakuangusha tayari, ushanyanyuka wewe?
Hahahaha hahahaSiyo kwamba utakuwa umepokea bahasha ya khaki?
Walijua Simba haiwezi kucheza nje ya Mkapa stadiumNahisi hawajui kuwa viwanja vingi siku hizi atleast vinachezeka mwisho wamekula kichapo.
Zimbe ana tatizo hilo muda mrefu ndio anaufanya beki ya kati ipanguke kmc wangekuwa wajanja wangepitia hukohukoGame iliyopita lolifungwa goli la kona kwa uzembe wa mabeki kushindwa ikijipanga. Same problem imejirudia leo kwa Mohammed Hussein kutokaa kwenye left post. Inasikitisha
Wamefata mapato, unadhani BM wangejaza hivyo? Hata Geita walifanya hivyo,maana wana uwanja kwaoHivi KMC kupeleka mechi Mwanza walikuwa wanawaza nini? Kwamba kuwakomoa Simba na Yanga au ndio waliamini watapata matokeo huko?
Ku refresh mindMkiwa mmefunga hivi raha sana kurudia rudia kusoma uzi 😀 😀
Mkiwa mmefunga hivi raha sana kurudia rudia kusoma uzi [emoji3] [emoji3]
Zimbe ana tatizo hilo muda mrefu ndio anaufanya beki ya kati ipanguke kmc wangekuwa wajanja wangepitia hukohuko
Mwamyeto ana goli mbiliNadhani mmeona why Inonga...sio beki bora tuu bali ni mfungaji pia
Wafunge wewe sio uwasakizie wenzako wakufanyie kaziYaan zile mechi 2 ingekuwa tumeshinda mbeya city na kagera tungekuwa mbali sana ligi bado ila inabidi vitimu vidogo vidogo hakuna kuvionea huruma ni kuvidunda hawa kima utopolo hatuna shaka nao kama wanafungwa na ihefu inamaaanisha bado anaweza fungwa tu
Tena ni backup nzuri ya kapombe akijiongeza kupiga Kross vizur mara nying nimemuona ana Kasi sanaKumkaba kijiri inahitaji umakini sana,jamaa ana spidi kali sana ..simlaumu zibwe alizidiwa na kijiri na sio zimbwe tu angalia mechi zote za kmc Kijiri huwa hakamatiki
Kwahiyo ulitaka asifunge au?Kwahiyo Inonga anashindana na Mayele kugombea ufungaji bora😆