Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mechi za mikoani Azam wanafunga kamera moja afu sio ile ya kiwangoNi wakati wa TFF kuwapa Onyo Hawa Wadhamini wanao Haribu Mpira, Hii sio Quality ya Live Video ya Mwaka 2022 ni Mateso kwa Watazamaji