FT: Ligi Kuu Bara | KMC FC 1-3 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba 26/12/2022

10' Mchezo unaendelea kupigwa katikati ya dimba lakini hakuna hatari yoyote kwa pande zote
 
12' Bocco anapiga kichwa hafifu ambacho hakina madhara yoyote yaani..!
 
15' [emoji460] Bocco Goooooooooooooaaal gooal

Captain fantastic John Bocco anaweka kambani bao la kwanza akipokea pasi murua kutoka kwa Kapombe

KMC FC 0-1 Simba SC
 
mashambulizi haya kipindi cha kwanza kinatakiwa kiishe hata na goli tatu.
 
Huyo mwanasheria wako kule jukwaa la siasa anakimbizwa na wanachadema
 
Awesu anaonywa na mwamuzi, anamwambia hii mara ya mwisho.acha rafu
 
Sakho yupo chini akipatiwa matibabu baada ya kuchelewa faulo na Vicente
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…