OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mbona leo ni kama wana simba tunaenda kubeba droo nyingine?
Hizi comments zinachanganya wasiotazama mechimashambulizi haya kipindi cha kwanza kinatakiwa kiishe hata na goli tatu.
Mbeleko iyo Simba kabebwa pale.. huoni manula kapiga goal kickAzam ndio wamegoma kabisa kuweka replay ya freekick ya KMC tuone ilikuwaje refa akapuliza filimbi punde tu baada ya mpira kupigwa?
Taratibu, punguza jazbaKuna mashenzi kama Okrah na Sakho wanampunja sana Chama. Yanakimbia tu bila mpango
Vp mnabebwa huko!?Azam ndio wamegoma kabisa kuweka replay ya freekick ya KMC tuone ilikuwaje refa akapuliza filimbi punde tu baada ya mpira kupigwa?
Nalipa mshahara, mtu anakimbiza tu uwanjani halafu mwisho wa mwezi anakingaTaratibu, punguza jazba
Timu kiujumla haipo stablePamoja na kufunga lakini msaada wa Bocco ni mdogo sana uwanjani.