FT: Ligi Kuu Bara | KMC FC 1-3 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba 26/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | KMC FC 1-3 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba 26/12/2022

Majogoro anaonyeshwa Kadi ya Njano upande wa KMC FC
 
Azam ndio wamegoma kabisa kuweka replay ya freekick ya KMC tuone ilikuwaje refa akapuliza filimbi punde tu baada ya mpira kupigwa?
Mbeleko iyo Simba kabebwa pale.. huoni manula kapiga goal kick
 
Simba inacheza mpila fulani hivi kitaa tunaita butua butua hauna mvuto kabisaa kuutazama.
Sijui washabiki wa Simba Huwa mnafurahia kitu gani kuitazama timu yenu ikicheza maana Ile sex football hakuna kabisaa
 
Back
Top Bottom