[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yamekuwa hayo tenaHuyu refa ni kama utopolo vile
Msharahara mamilioni,we hunaNalipa mshahara, mtu anakimbiza tu uwanjani halafu mwisho wa mwezi anakinga
Sana kabisa. Kuna tofauti namna wachezaji wa Simba wanavyogusa na kumiliki mipira ukilinganisha na wa Yanga au Azam. Wachezaji hawako motivated, control ndogo. Yaani kama hawafundishwi bali hucheza kwa kipaji cha kila mmoja.Timu kiujumla haipo stable
Itawezekana mkikutana nao.KMC, mkiamua inawezekana. Hata sare tu inatosha. Mkifungwa poleni. Ila leo niko upande wenu.
Yani sijajua kama ishu hiyo inasababishwa na morale au mentality yao haiko sawa kutokana na mambo yanayoendelea nje ya uwanjaSana kabisa. Kuna tofauti namna wachezaji wa Simba wanavyogusa na kumiliki mipira ukilinganisha na wa Yanga au Azam. Wachezaji hawako motivated, control ndogo. Yaani kama hawafundishwi bali hucheza kwa kipaji cha kila mmoja.
Sasa mkuu timu mbovu kama Simba unataka icheze vizuri kama timu nzuri ya Yanga au Azam kweli??Sana kabisa. Kuna tofauti namna wachezaji wa Simba wanavyogusa na kumiliki mipira ukilinganisha na wa Yanga au Azam. Wachezaji hawako motivated, control ndogo. Yaani kama hawafundishwi bali hucheza kwa kipaji cha kila mmoja.
Amka kumekuchaHii game itaisha hivi.. Kmc 2-1 Simba
YeahKinacho Wafanya KMC kupeleka Hii Michezo Huwa ni Mapato?
Record ya Boko na ya huyo Prince wako inaweza kufananishwa??Sasa mkuu timu mbovu kama Simba unataka icheze vizuri kama timu nzuri ya Yanga au Azam kweli??
We unaona mtu kama Mayele au prince dube utawafananisha na Bocco asiyeweza hata kutuliza mpira anayetegemea bahati ndio afunge goli??
Lakini mbona Chama relatively yuko vizuri. Nadhani scouting ya wachezaji waangalie pia performance/historia zao darasani. Mpira ni mchezo unaihitaji matumizi makubwa ya akili hasa hesabu tena ndani ya muda mfupi. Kupiga mpira kunahitaji hesabu, kuruka juu hesabu, kutoa pasi hesabu, hata kujua mpira huu ni wa kichwa au kifua au mguu yahitaji hesabu. Kuna makosa mengi ya kutotumia uwezo wa akili kwenye maamuzi ya wengi wa Simba. Lakini pia kama kazi yako yakima sikuoni mpira, siwaelewi wachezaji wanaopoteza mpira halafu kusimama tu ku assume wengine wataupata wakuletee.Yani sijajua kama ishu hiyo inasababishwa na morale au mentality yao haiko sawa kutokana na mambo yanayoendelea nje ya uwanja
Ucha kuchekesha mkuu. Yaani we unamzungumzia Bocco wa mwaka 47 na huyu asiyeweza hata kugeuka??Record ya Boko na ya huyo Prince wako inaweza kufananishwa??