FT: Ligi Kuu Bara | KMC FC 1-3 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba 26/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | KMC FC 1-3 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba 26/12/2022

45+2' Kuelekea kuwa mapumziko ambapo Simba wapo mbele ya bao moja

Kanoute anafanyiwa faulo, inapigwa kulee kwake Chama, Bocco, lakini mwamuzi anasema mpira ulishatoka

Naaam mpira ni mapumziko.

HT: KMC FC 0-1 Simba SC
 
Sana kabisa. Kuna tofauti namna wachezaji wa Simba wanavyogusa na kumiliki mipira ukilinganisha na wa Yanga au Azam. Wachezaji hawako motivated, control ndogo. Yaani kama hawafundishwi bali hucheza kwa kipaji cha kila mmoja.
Yani sijajua kama ishu hiyo inasababishwa na morale au mentality yao haiko sawa kutokana na mambo yanayoendelea nje ya uwanja
 
Sasa mkuu timu mbovu kama Simba unataka icheze vizuri kama timu nzuri ya Yanga au Azam kweli??
We unaona mtu kama Mayele au prince dube utawafananisha na Bocco asiyeweza hata kutuliza mpira anayetegemea bahati ndio afunge goli??
 
Record ya Boko na ya huyo Prince wako inaweza kufananishwa??
 
Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa CCM de Kirumba

KMC FC 0-1 SIMBA SC
 
Yani sijajua kama ishu hiyo inasababishwa na morale au mentality yao haiko sawa kutokana na mambo yanayoendelea nje ya uwanja
Lakini mbona Chama relatively yuko vizuri. Nadhani scouting ya wachezaji waangalie pia performance/historia zao darasani. Mpira ni mchezo unaihitaji matumizi makubwa ya akili hasa hesabu tena ndani ya muda mfupi. Kupiga mpira kunahitaji hesabu, kuruka juu hesabu, kutoa pasi hesabu, hata kujua mpira huu ni wa kichwa au kifua au mguu yahitaji hesabu. Kuna makosa mengi ya kutotumia uwezo wa akili kwenye maamuzi ya wengi wa Simba. Lakini pia kama kazi yako yakima sikuoni mpira, siwaelewi wachezaji wanaopoteza mpira halafu kusimama tu ku assume wengine wataupata wakuletee.

Jambo la tatu, sina hakika kama Simba kuna on-time match analysts na psychologists. Kuna makosa ya kisaikolojia mengi tu. Nilitamani Huyu match analyst angekuwa kwenye screen kuliko uwanjani. Ni vigumu kuona baadhi ya action zinazohitaji reaction za haraka.
 
Namna gani hapa Sakho..! Ilikuwa nafasi ya kwake.
 
Record ya Boko na ya huyo Prince wako inaweza kufananishwa??
Ucha kuchekesha mkuu. Yaani we unamzungumzia Bocco wa mwaka 47 na huyu asiyeweza hata kugeuka??
Aden Rage alikuwa sahihi kuwaita mbumbumbu
 
Sadala Goooooooooooooaaal gooal

KMC FC wanasawazisha kupitia kwa Sadala

KMC FC 1-1 SIMBA SC
 
Back
Top Bottom