kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Mpaka hapa mtaji usharudi kilichobaki ni faida sasa😆Anasheherekea mkataba wake aliosaini jana
Hawa KMC badala ya kufunga magoli wao wanaumiza wachezaji. Kama vile wametumwa.Eehhh rahaaa
Bado 3Henock Goooooooooooooaaal gooal
Henock anaruka Header moja matata na kuweka kambani bao la tatu
KMC FC 1-3 Simba SC
Nani kaumizwa wewe? Badala useme Simba wamebebwa na refa unawalaumu kmcHawa KMC badala ya kufunga magoli wao wanaumiza wachezaji. Kama vile wametumwa.
Mechi hii tunge sare au kupoteza binafsi ningekuwa nisha lose hope ya ubingwaUtopolo Wanaumia Sana Mambo Haya...!
Kumbe mna hope ya ubingwa[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]Mechi hii tunge sare au kupoteza binafsi ningekuwa nisha lose hope ya ubingwa
Saizi bado tuna power ya ku conquer na kuzidi kusonga mbele
Hata hivyo mimi naona kama Utopolo wanabeba tena ndoo mwaka huu.Mechi hii tunge sare au kupoteza binafsi ningekuwa nisha lose hope ya ubingwa
Saizi bado tuna power ya ku conquer na kuzidi kusonga mbele
Ndugu zetu utopolo wanapewa Raha na Mwiko nyumaSimba mnatupa raha mashabiki wenu hatuna habareee
Kwani kuna lipi baya??? Acha kucomplicate kila kitu bana Tate Mkuu mimi hao walionipita wala sina baya nao...Kwa hiyo na wewe umekubali matokeo hata kabla ya mshindi kutangazwa!!
Kumbe nilikuwa sahihi kabisa kugomea mchakato mzima. Yaani mgombea unakubali kirahisi tu kushindwa!!