FT: Ligi Kuu Bara | KMC FC 1-3 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba 26/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | KMC FC 1-3 Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba 26/12/2022

Moderator , Maxence Melo hili swala la kusubirishana kwenye kupost limekuwa too annoying, katika maboresho yenu tunaomba hii kitu iwe fixed maana imekuwa ni kero sana

Huwezi amini ilinibidi nisubirie mpaka 15 sec ndio nipost



Screenshot_20221226-173558.png
 
Mechi hii tunge sare au kupoteza binafsi ningekuwa nisha lose hope ya ubingwa

Saizi bado tuna power ya ku conquer na kuzidi kusonga mbele
Kumbe mna hope ya ubingwa[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom