Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Kuna kaukweli hapa. Japo ukweli mchungu sana kwetuHata hivyo mimi naona kama Utopolo wanabeba tena ndoo mwaka huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kaukweli hapa. Japo ukweli mchungu sana kwetuHata hivyo mimi naona kama Utopolo wanabeba tena ndoo mwaka huu.
Aambiwe mapema ajirekebisheGame iliyopita lolifungwa goli la kona kwa uzembe wa mabeki kushindwa ikijipanga. Same problem imejirudia leo kwa Mohammed Hussein kutokaa kwenye left post. Inasikitisha
Muhimu tuepuke sare au kupoteza kizembeMechi hii tunge sare au kupoteza binafsi ningekuwa nisha lose hope ya ubingwa
Saizi bado tuna power ya ku conquer na kuzidi kusonga mbele
HahahahahaNdugu zetu utopolo wanapewa Raha na Mwiko nyuma
Wapo kwenye 'form' nzuri mno kusema kweli.Hata hivyo mimi naona kama Utopolo wanabeba tena ndoo mwaka huu.
Kibu nae mchoko kweli.. Pale angenyoosha misuli sahiv tunahesab 4Ingekuwa Uto pale Kwa Kibu ingekuwa Tuta...!
SawaZimeongezwa Dk3 wacha tuone
Ndio. Kama Ihefu waliweza kucheza na Yanga na hiyo nyingine, basi hata kwa Simba inawezekanaKweli hii Simba ni ya kucheza na Yanga au Azam? Mhhh