Jua tu Mkwasa ni utopoloUlijuaje Chifu, ngoja mechi zijazo Bingwa wa makombe yake matatu aje ashinde kwa kishindo uone Makolokolo watavyofungua nyuzi kukandia kuwa Yanga katembeza bahasha [emoji848][emoji16]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hawataki ukweli huo sasa shida inaanzia hapo, wanasema Singida kacheza mpira wakati walikua wanakamilisha ratiba tuMimi sijaangalia mpira kwanza hilo ulijue, kingine Ruvu ya saizi haijafanya usajili mzuri wa kuifanya itofautiane na ile ya msimu uliopita ambayo tulishinda goi 4-1
View attachment 2421339
Lakini kiushindani na kwa ubora wa kikosi kati Ruvu na Singida wote tunakubali kuwa Singida wapo vizuri
Haimaanishi kwamba wapo vizuri hivyo hawakustahili kufungwa, hapana. Tunamaanisha perfomance walioicheza haikuwa ile ambayo inaendana na Quality ya kikosi chao.
Juzi Yangu Vs Singida Mayele walimkatalia goli la wazi alipewa pasi akabaki yeye na kipa akaambiwa offside ilihali hakuwa hata offside.Simba huwaga hawana offside...hili goli ingekua Mayele offside!
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ile SINGIDA tulidraw kwasababu ya uzembe wa kibu, ilitakiwa iishe 2-1 au hata 3 kabisa.Mimi sijaangalia mpira kwanza hilo ulijue, kingine Ruvu ya saizi haijafanya usajili mzuri wa kuifanya itofautiane na ile ya msimu uliopita ambayo tulishinda goi 4-1
View attachment 2421339
Lakini kiushindani na kwa ubora wa kikosi kati Ruvu na Singida wote tunakubali kuwa Singida wapo vizuri
Haimaanishi kwamba wapo vizuri hivyo hawakustahili kufungwa, hapana. Tunamaanisha perfomance walioicheza haikuwa ile ambayo inaendana na Quality ya kikosi chao.
Jifunze kuheshimu football nyinyi mkishinda mnakuja na porojo nyingi kama CCM, wengine hatawastahili ushindi isipokua nyie tuMimi sijaangalia mpira kwanza hilo ulijue, kingine Ruvu ya saizi haijafanya usajili mzuri wa kuifanya itofautiane na ile ya msimu uliopita ambayo tulishinda goi 4-1
View attachment 2421339
Lakini kiushindani na kwa ubora wa kikosi kati Ruvu na Singida wote tunakubali kuwa Singida wapo vizuri
Haimaanishi kwamba wapo vizuri hivyo hawakustahili kufungwa, hapana. Tunamaanisha perfomance walioicheza haikuwa ile ambayo inaendana na Quality ya kikosi chao.
Enonga unamsahau?Ile SINGIDA tulidraw kwasababu ya uzembe wa kibu, ilitakiwa iishe 2-1 au hata 3 kabisa.
Akiwa utopolo ndiye hataki kuchangamkia bahasha toka Ngada FC [emoji848][emoji23]Jua tu Mkwasa ni utopolo
Mwamba leo hii kapiga ni hat trick ya 69 ujueShunie ww huwa unaishia njiani ngoja na mimi nitoke humu. Niwapishe watu wachambue mechi..wenye kusema bahasha hayaaa..wenye kusema ruvu hawana kiwango hayaa...wenye kusema mkwasa ni yange yange lia lia hayaaaa... wenye kusema hatrick haina thamani kwa sasa hayaaaa... basi ndo vile tunaondoka kishujaaa Ni Nnneee kwa sufuriiii.
Weee kumbe ana hatari huyu eee acha awe mvp tuu.Mamba leo hii kapiga ni hat trick ya 69 ujue
Naheshimu football naheshimu juhudi za wachezaji kujituma uwanjaniJifunze kuheshimu football nyinyi mkishinda mnakuja na porojo nyingi kama CCM, wengine hatawastahili ushindi isipokua nyie tu
Ke kupenda v2 vya me au me kuoenda vtu vya ke ni MAPUNGUFUMimi huwa sipendi Netball na siijui, acha nikafanye mambo mengine weekend hii. Kila la kheri wacheza Netball leo... Hakuna ladha ya ligi tena.
Tuiangazie ngao ya jamii kati ya zile goli mbili za watoa bahasha unahisi kuna hata moja lenye utata kusema kwamba refa anaweza akawa kapewa bahasha?Mimi sio muumini wa kauli hiyo, ila hii ukikutana na mtu mwenye imani hiyo basi hoja yako ni nyepesi sana
Kwasababu si lazima bahasha ipitishwe kwa timu pinzani, hata Refa akipewa bahasha ana nafasi ya kuifanya timu ishinde
Kwahyo mtakuwa mmeifunga Yanga hapo au sio?Jua tu Mkwasa ni utopolo
Hakuna lenye utata, lakini hiyo haimaanishi kwamba hakuna magoli controversial ambayo yanafungwaTuiangazie ngao ya jamii kati ya zile goli mbili za watoa bahasha unahisi kuna hata moja lenye utata kusema kwamba refa anaweza akawa kapewa bahasha?
Furaha ni kuona utopolo amenunaKwahyo mtakuwa mmeifunga Yanga hapo au sio?