FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

Mimi sijaangalia mpira kwanza hilo ulijue, kingine Ruvu ya saizi haijafanya usajili mzuri wa kuifanya itofautiane na ile ya msimu uliopita ambayo tulishinda goi 4-1
View attachment 2421339

Lakini kiushindani na kwa ubora wa kikosi kati Ruvu na Singida wote tunakubali kuwa Singida wapo vizuri

Haimaanishi kwamba wapo vizuri hivyo hawakustahili kufungwa, hapana. Tunamaanisha perfomance walioicheza haikuwa ile ambayo inaendana na Quality ya kikosi chao.
Hawataki ukweli huo sasa shida inaanzia hapo, wanasema Singida kacheza mpira wakati walikua wanakamilisha ratiba tu
 
Ma sredi yameanza sasa hahahaahh
Ila mna haki na sisi tunafanyaga hivihiviiii 😆 😆 😆 😆
 
Simba huwaga hawana offside...hili goli ingekua Mayele offside!

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Juzi Yangu Vs Singida Mayele walimkatalia goli la wazi alipewa pasi akabaki yeye na kipa akaambiwa offside ilihali hakuwa hata offside.

Pia hata ligi kuu 2021/2022 walimnyima Mayele magoli mengi sana kwa ujinga huo huo wa offsides, wanampotezea mentality winning kindezi sana hawa marefa wa mchongo wa Bongo [emoji57]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sijaangalia mpira kwanza hilo ulijue, kingine Ruvu ya saizi haijafanya usajili mzuri wa kuifanya itofautiane na ile ya msimu uliopita ambayo tulishinda goi 4-1
View attachment 2421339

Lakini kiushindani na kwa ubora wa kikosi kati Ruvu na Singida wote tunakubali kuwa Singida wapo vizuri

Haimaanishi kwamba wapo vizuri hivyo hawakustahili kufungwa, hapana. Tunamaanisha perfomance walioicheza haikuwa ile ambayo inaendana na Quality ya kikosi chao.
Ile SINGIDA tulidraw kwasababu ya uzembe wa kibu, ilitakiwa iishe 2-1 au hata 3 kabisa.
 
Mimi sijaangalia mpira kwanza hilo ulijue, kingine Ruvu ya saizi haijafanya usajili mzuri wa kuifanya itofautiane na ile ya msimu uliopita ambayo tulishinda goi 4-1
View attachment 2421339

Lakini kiushindani na kwa ubora wa kikosi kati Ruvu na Singida wote tunakubali kuwa Singida wapo vizuri

Haimaanishi kwamba wapo vizuri hivyo hawakustahili kufungwa, hapana. Tunamaanisha perfomance walioicheza haikuwa ile ambayo inaendana na Quality ya kikosi chao.
Jifunze kuheshimu football nyinyi mkishinda mnakuja na porojo nyingi kama CCM, wengine hatawastahili ushindi isipokua nyie tu
 
Shunie ww huwa unaishia njiani ngoja na mimi nitoke humu. Niwapishe watu wachambue mechi..wenye kusema bahasha hayaaa..wenye kusema ruvu hawana kiwango hayaa...wenye kusema mkwasa ni yange yange lia lia hayaaaa... wenye kusema hatrick haina thamani kwa sasa hayaaaa... basi ndo vile tunaondoka kishujaaa Ni Nnneee kwa sufuriiii.
 
Mwamba leo hii kapiga ni hat trick ya 69 ujue
 
Jifunze kuheshimu football nyinyi mkishinda mnakuja na porojo nyingi kama CCM, wengine hatawastahili ushindi isipokua nyie tu
Naheshimu football naheshimu juhudi za wachezaji kujituma uwanjani

Lakini kama utakumbuka hii swala nyinyi ndio mliolianza kwa kuwatisha waamuzi kwenye zile press zenu kwa madai ya kwamba wanaibeba Simba

So na sisi tunapoona errors kwenye mechi zenu tunafanya kuwakumbusha tu
 
Mimi huwa sipendi Netball na siijui, acha nikafanye mambo mengine weekend hii. Kila la kheri wacheza Netball leo... Hakuna ladha ya ligi tena.
Ke kupenda v2 vya me au me kuoenda vtu vya ke ni MAPUNGUFU
 
Mimi sio muumini wa kauli hiyo, ila hii ukikutana na mtu mwenye imani hiyo basi hoja yako ni nyepesi sana

Kwasababu si lazima bahasha ipitishwe kwa timu pinzani, hata Refa akipewa bahasha ana nafasi ya kuifanya timu ishinde
Tuiangazie ngao ya jamii kati ya zile goli mbili za watoa bahasha unahisi kuna hata moja lenye utata kusema kwamba refa anaweza akawa kapewa bahasha?
 
Hakuna lenye utata, lakini hiyo haimaanishi kwamba hakuna magoli controversial ambayo yanafungwa
 
Back
Top Bottom