MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
nyie mpira usha washinda mmebakiza lawama, haya pale Simba yupo nani maana mnafungwa kila siku na YangaTimu zote za NBC League zenye Makocha wa Zamani wa Yanga au wachezaji wa zamani wa Yanga ni Hatarishi sana kwa Simba na Simba hatutakiwi kuchukulia poa. Wanachezesha wachezaji wao jihad kulinda maslahi ya timu yao ya zamani.
Angalia;
NAMUNGO yupo NSJIGWA
SINGIDA BS yupo Pluijm
GEITA yupo Minziro
RUVU yupo Mkwasa
Kagera yuko MECK
AZAM yupo KALI ONGARA
IHEFU yupo MWAMBUSI
Marare Hamsini yupo
Hizi timu zooooote Simba atapoteza au kupata sare au kupata matokeo finyu kwa utamaduni wa soka la Bongo.
Simba hakikisha;
Matola
Amri Said
Ulimboka
Julio &
Dennis Kitambi wote wapate timu LIGI KUU tutaanzia hapo kumkamata Yanga vinginevyo kumsimamisha ni ngumu maaana ligi imekaa ki Chupli Chupli
NtakushtuaHahaha hakuna kitu. Leo mtalaumiana kama kawa
Haswaaa kama una ka mzigo kako lete nikusaidie😆😆[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Punda FC,,, ngada zitembeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, me nipoNtakushtua
Mayele ndo habari yao ya mujinSasa hapo Mayele ametokea wapi Jamani au anacheza leo? Mbona mnapenda kutuchanganyia karatasi..!
Hapo bench panasikitishaKikosi cha Simba SC kinachoanza dhidi ya Ruvu Shooting.. John Bocco akianza.View attachment 2421198
Sikitika tu mkuu angalia usilie kabisa.Hapo bench panasikitisha
kikosi kizuri wachezaji wakitulia tunaondoka na ushindi mnono.Kikosi cha Simba SC kinachoanza dhidi ya Ruvu Shooting.. John Bocco akianza.View attachment 2421198
Sakho majeruhi?Kikosi cha Simba SC kinachoanza dhidi ya Ruvu Shooting.. John Bocco akianza.View attachment 2421198
Jimmy, Israel, Banda, Sakho, Okwa na Kyombo hawana utimamu wa mwili kwa maana ni wachezaji majeruhi kwa Kikosi cha Simba SC..!Sakho majeruhi?
Kama vipi mgunda ajaze viungo wengi. Lirudi soka letu. Kufunga atafunga yeyote. Asilazimishe mastriker butu. Wanaziba nafasi muhimu.
Kwa maslahi ya timu.