FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Ruvu Shooting 0-4 Simba SC | Stade de Benjamin Mkapa 19/11/2022

Timu zote za NBC League zenye Makocha wa Zamani wa Yanga au wachezaji wa zamani wa Yanga ni Hatarishi sana kwa Simba na Simba hatutakiwi kuchukulia poa. Wanachezesha wachezaji wao jihad kulinda maslahi ya timu yao ya zamani.
Angalia;
NAMUNGO yupo NSJIGWA
SINGIDA BS yupo Pluijm
GEITA yupo Minziro
RUVU yupo Mkwasa
Kagera yuko MECK
AZAM yupo KALI ONGARA
IHEFU yupo MWAMBUSI
Marare Hamsini yupo
Hizi timu zooooote Simba atapoteza au kupata sare au kupata matokeo finyu kwa utamaduni wa soka la Bongo.
Simba hakikisha;
Matola
Amri Said
Ulimboka
Julio &
Dennis Kitambi wote wapate timu LIGI KUU tutaanzia hapo kumkamata Yanga vinginevyo kumsimamisha ni ngumu maaana ligi imekaa ki Chupli Chupli
nyie mpira usha washinda mmebakiza lawama, haya pale Simba yupo nani maana mnafungwa kila siku na Yanga
 
Kikosi cha Simba SC kinachoanza dhidi ya Ruvu Shooting.. John Bocco akianza.
20221119_180645~2.jpg
 
Sakho majeruhi?

Kama vipi mgunda ajaze viungo wengi. Lirudi soka letu. Kufunga atafunga yeyote. Asilazimishe mastriker butu. Wanaziba nafasi muhimu.
Kwa maslahi ya timu.
Jimmy, Israel, Banda, Sakho, Okwa na Kyombo hawana utimamu wa mwili kwa maana ni wachezaji majeruhi kwa Kikosi cha Simba SC..!
 
Back
Top Bottom