Waminyato
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,197
- 4,525
tulia sindano ikuingie endelea kucheki boli Chura f.c[emoji28][emoji23]Bora kwenda kuangalia Mpali kuliko huu uchafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tulia sindano ikuingie endelea kucheki boli Chura f.c[emoji28][emoji23]Bora kwenda kuangalia Mpali kuliko huu uchafu
Sio kona bhana, ilishaanzishwa akapasiwa TShabalala ndio alipasia pasi ya mwisho.Duuu yaani Kona Ina offside
mkuu utapata BP ya kupanda bure, hizi timu haitakiwi uwe shabiki wa kupindukia. Ona sasa ulivyoharibikiwa moodBora kwenda kuangalia Mpali
La kwanza lilikuwa offside, la pili limenunuliwaSimba wamenunua mechi hii dhahiri shahili
Kumbe kona haina offsideDuuu yaani Kona Ina offside
Na hivyo mrefu leo atazifumania nyavu za netball hatariKwani Bocco anacheza Netball ama?
Ruvu wamepewa maelekezo na yamezingatiwa...
bado umekomaa tu na offsideKumbe kona haina offside
Maana baada ya dakika Bocco, kipofu kaona mwezi...Na hivyo mrefu leo atazifumania nyavu za netball hatari
Tulia teonenji.. angalia boliBora kwenda kuangalia Mpali kuliko huu uchafu