Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ligi ina fainali?Nafasi hiyo kwa Club Bingwa inatufaa japo haikuwa malengo yetu maana tulitaka tucheze fainali yenyewe
Mmeshakua watu wa kulia lia tuUnaweza kutembeza boli akati timu pinzani zinacheza kwa maelekezo ya kukamia na kupaki basi kutoka kwa wafadhili??
Hakuna mtu asiye lia. Ndio maumbile yetu hayo.Mmeshakua watu wa kulia lia tu
Namungo ni ndugu zenu nao mnalia eti wametumwa muwe mancheza na Simba Queens sasaHakuna mtu asiye lia. Ndio maumbile yetu hayo.
Tumshukuru MGUNDA anavoonesha usajili wa Dili ndani ya simbaIla Kibu anapitia kipindi kigumu amekosaje goli pale?
kwa majaliwa kasimu.Sorry Namungo ni timu ya mkoa gani?
Wenzetu ndugu zenu ni akina nani ?Namungo ni ndugu zenu nao mnalia eti wametumwa muwe mancheza na Simba Queens sasa
Wambie vigoli vimoja vimoja kama UtopoloShukran Mtani! Japo naona siku hizi hamzioni nyavu sababu mwendo wa vigoli vimoja vimoja tu.
🤣🤣🤣 Hadi nilikumiss yaani.Wambie vigoli vimoja vimoja kama Utopolo
Champions league inakosaje fainali?Ligi ina fainali?
Johari wa kanumba.Mkishinda mechi ya leo niite Johari
Wote ambao hawezi kutufungaWenzetu ndugu zenu ni akina nani ?
Mmeshakua watu wa kulia lia tu
Namungo ni ndugu zenu nao mnalia eti wametumwa muwe mancheza na Simba Queens sasa