Ni goli lililofungwa kukiwa hakuna Kipa.
Wewe Kamsaidie kipa maana alienda chooniNi goli lililofungwa kukiwa hakuna Kipa.
Nimeamka akili inasema mzungu leo atafunga tuUmetisha sana
Dejan katupia tena goli zuri sana. Ni muda wa kugain confidence akiwa uwanjani tu tutaanza kumkubali wenyewe.Mzungu je?
SawaUshabiki wa mpira wa miguu una furaha zake.
Hongera kwa furaha mkuu... Mmecheza vizuri sana..Mnaelewa ushangiliaji alioshangilia Mzungu ni wa aina gani?
Unaitwa back pack kid
Ilikuwa created na kitoto kidogo tu kinavaa begi muda wote, ni kidogo sana hata wewe umekizidi, hicho kitoto ni ki dancer.
Kimeimba wimbo unaitwa LITT
Katika soka ushanhiliaji wa namna hii unashangiliwa na wachezaji wawili tu duniani
Mmoja ni Pogba na mwingine ndio huyu wa leo kwa Mkapa
Yaani leo magoli matatu ya wazi tumekosa, Banda, Ouattara na chama. Anyway, cha muhimu ushindi.Shida ni nini mtani unakosa magoli yote yaleee!!
Ila pongezi sana... Mechi ilikuwa ngumu sana.
Jamaa hajamuweka kwenye list ya wafungaji mkuu
Fluck is real.Tuwasubiri hawa walioanzisha uzi kumponda mzungu Wana maoni gani.