FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 2-0 Kagera Sugar | Uwanja wa Mkapa | Agosti 20, 2022

AB93FE15-8F3C-4AC1-B1C5-D4E89E3725C9.jpeg
 
Mnaelewa ushangiliaji alioshangilia Mzungu ni wa aina gani?

Unaitwa back pack kid

Ilikuwa created na kitoto kidogo tu kinavaa begi muda wote, ni kidogo sana hata wewe umekizidi, hicho kitoto ni ki dancer.

Kimeimba wimbo unaitwa LITT

Katika soka ushangiliaji wa namna hii unashangiliwa na wachezaji wawili tu duniani

Mmoja ni Pogba na mwingine ndio huyu wa leo kwa Mkapa
 
Mnaelewa ushangiliaji alioshangilia Mzungu ni wa aina gani?

Unaitwa back pack kid

Ilikuwa created na kitoto kidogo tu kinavaa begi muda wote, ni kidogo sana hata wewe umekizidi, hicho kitoto ni ki dancer.

Kimeimba wimbo unaitwa LITT

Katika soka ushanhiliaji wa namna hii unashangiliwa na wachezaji wawili tu duniani

Mmoja ni Pogba na mwingine ndio huyu wa leo kwa Mkapa
Hongera kwa furaha mkuu... Mmecheza vizuri sana..
 
Back
Top Bottom