FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 2-0 Kagera Sugar | Uwanja wa Mkapa | Agosti 20, 2022

Hatimaye Mzungu Afunga goli Kali sana uku golini kukiwa hakuna Kipa [emoji2][emoji2][emoji2]
Na nyie si mna yule mchezaji wa ulaya ambaye mara ya mwisho mmemchukua akiwa sbc depo akiwa kama kuli

Kambale kabakiza miezi 3 ya mkataba, mafanikio yake ni kufunga goli moja kati ya magoli 9 mliyoshinda kwenye ya pre season dhidi ya watoto wa kigamboni.

Saizi naskia tena mnataka mumtoe kwa mkopo, sijui mtampeka wapi na nani atakuwa tayari kumchukua?
 
SIMBA 1-2 KAGERA

Matokeo yasipokuwa hivyo mniite mbwa nimekaa pale. Leo kati ya kocha, wachezaji, au kiongozi wowote ataondolewa pale msimbazi.
mbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tathmini yangu ya leo ni kuwaaa Chama ni mchezaji na nusu hana papara akipata mpira anatulia na unakua kama una sumaku akiamua kuupeleka anakotaka.

Mwingine ni Dejan haangaiki anajua position yake na kazi yake tuuuu hahahaaaaa mlete mzunguuuu,

Mwingine ni kanute huyu ni jabali linaloogopewa halafu nadhani atakua mkorofi sana huyu huwa anawapiga mpk makwenzi timu pinzani halafu anajifanya sio yeye hahaaa.
 
Yule mti

Hata yule mtingisha matiti naye leo alifunga eneo la goli ambapo kipa hakuwepo.
Hapo golini kulikua na mabeki wawili au watatu na wakashindwa kuokoa, so far golikipa kazi yake ni kua hapo golini sasa yeye alienda kuzurula wapi [emoji1][emoji1][emoji1]
 
SIMBA 1-2 KAGERA

Matokeo yasipokuwa hivyo mniite mbwa nimekaa pale. Leo kati ya kocha, wachezaji, au kiongozi wowote ataondolewa pale msimbazi.
Unaanza kubweka saa ngapi brother 😅😅 tujulishane mda
 
Noma sana.. nasema hivi mzungu apewe mafuta ya mwamposa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…