Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Na nyie si mna yule mchezaji wa ulaya ambaye mara ya mwisho mmemchukua akiwa sbc depo akiwa kama kuliHatimaye Mzungu Afunga goli Kali sana uku golini kukiwa hakuna Kipa [emoji2][emoji2][emoji2]
Kambale kabakiza miezi 3 ya mkataba, mafanikio yake ni kufunga goli moja kati ya magoli 9 mliyoshinda kwenye ya pre season dhidi ya watoto wa kigamboni.
Saizi naskia tena mnataka mumtoe kwa mkopo, sijui mtampeka wapi na nani atakuwa tayari kumchukua?