FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 2-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | Juni 23, 2022

Like goli la pili mpira ulikuwa unaenda moja kwa moja. Golikipa angeacha tu maana ulikuwa juu sana. Ona Sasa kachelewa kutua chini mpira ushatinga golini
 
Wananchi sio watu wa Payu Payu siku zote,hata tulivyochukua ubingwa wala hakuna kelele mtaani na wala haturingi
 
angalia simba sasa manula amepumzika ila nyie mnapambana kumchezesha mayele awe mfungaji bora, ni upumbavu.

mayele alitakiwa sasa awe kwao anakula good time.
Kwani Mayele siku hizi ni Goal keeper au hujui siku hizi anadaka Mshery na cleansheet zinaendelea kupatikana

Goalkeeper wenye cleansheet nyingi NBC premier league
1.Diara-15
2.Mshery-11
3.Manula-10

Hatuwezi kushindana na timu tuliyoizidi kila kitu kwenye data za ligi kuu na tunajipigia kila tukitaka

Mbaya zaidi goalkeeper wetu namba mbili anamzidi goalkeeper wenu namba moja kwa cleansheet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…