Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kwani hatasajili wengine?Singida Big Stars!! 😁😁 Ila Moo bhana! Yaani anauza uza tu wachezaji. Halafu wakati huo huo anataka ubingwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hatasajili wengine?Singida Big Stars!! 😁😁 Ila Moo bhana! Yaani anauza uza tu wachezaji. Halafu wakati huo huo anataka ubingwa.
Aaaah! Mm sijazungumzia goal Mzee ila nimesema Simba ya mchongo wapo wanamwagilia mioyo yaoGoli halali kabisa labda kama umesimuliwa.
Kufanyaje?Mtibwa wamejipanga
Kucheza mkuuKufanyaje?
Huna macho?Clear goal bila ya mfumo wa goal technology?
Wajitahidi wafunge basiKucheza mkuu
Hatuwezi kuteseka na timu ambayo tunajipigia tunavyotakayani yanga mteseke na mpole tu, sio simba.
Akina Victor Akpan kwa milioni 100?Kwani hatasajili wengine?
angalia simba sasa manula amepumzika ila nyie mnapambana kumchezesha mayele awe mfungaji bora, ni upumbavu.Hatuwezi kuteseka na timu ambayo tunajipigia tunavyotaka
hatuachi kitu.angalia simba sasa manula amepumzika ila nyie mnapambana kumchezesha mayele awe mfungaji bora, ni upumbavu.
mayele alitakiwa sasa awe kwao anakula good time.
Kwani Mayele siku hizi ni Goal keeper au hujui siku hizi anadaka Mshery na cleansheet zinaendelea kupatikanaangalia simba sasa manula amepumzika ila nyie mnapambana kumchezesha mayele awe mfungaji bora, ni upumbavu.
mayele alitakiwa sasa awe kwao anakula good time.
Kuna vitu hata kwa macho vinaonekanaMacho ndiyo goal technology?