Wakuu taratibuNyie fuateni huo wa kwenu sisi kila mechi tunaanzisha
Acha uchawiKwa Simba hii, Sioni. Yanga wakipoteza taji lolote katika Mataji waliyo kusanya msimu uliopita.
NakaziaOkrah asipo logwa ni mchezaji mzuri sana
Watabadilika huko mbeleni mkuu, vuta subraKwa Simba hii, Sioni. Yanga wakipoteza taji lolote katika Mataji waliyo kusanya msimu uliopita.
Endelea kukaririKwa Simba hii, Sioni. Yanga wakipoteza taji lolote katika Mataji waliyo kusanya msimu uliopita.
Endeleeni kuumia mnaona Geita wadogo eee? Timu inacheza vzr ikipata mpiraHii game simba anashinda, lakini naamini wakikutana na kikosi chenye kutumia nguvu na mbinu lazima watazidiwa tu
Ina ukubwa gani?Endeleeni kuumia mnaona Geita wadogo eee? Timu inacheza vzr ikipata mpira
Ukifurahi mimi nafurahi zaidi sweetheart😘Mnooo
Yaani wamemaliza umeme wa bure tu hawa wangecheza saa nane mchana.
Simba hii ata ikibadilika damage ni kubwa sana, walikosea sana kutosajili mshambuliaji na namba sita wa uhakika.Watabadilika huko mbeleni mkuu, vuta subra
kwa ile mechi yenu ya jana inatakiwa muwe mnacheza saa mbili asubuhi.Yaani wamemaliza umeme wa bure tu hawa wangecheza saa nane mchana.
Sasa nyie mlocheza na Polisi jana si mngefunga 8 bila?.sasa kitimu cha polisi unafananisha na geita.Ina ukubwa gani?