FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Geita Gold | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Agosti 17, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Geita Gold | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Agosti 17, 2022

Kwa Simba hii, Sioni. Yanga wakipoteza taji lolote katika Mataji waliyo kusanya msimu uliopita.
 
Yanga na viwili vyake chalii. Yani msimu huu yanga hafungi zaidi ya mbili. Halafu kufungwa ni lazima hata akirudisha kule nyuma kwao kumetoboka
 
Watabadilika huko mbeleni mkuu, vuta subra
Simba hii ata ikibadilika damage ni kubwa sana, walikosea sana kutosajili mshambuliaji na namba sita wa uhakika.
 
Back
Top Bottom