Kwahyo walikua wanacheza kwaito..ila sio mbaya kuanzia hapo kwenye # umeongea pwenti...SIMBA WAMECHEZA KAWAIDA SAAAAA ,HAWASISIMUI WALA HAWASHTUI....ZORAN ANAKAZI KUBWA SANA BADO.......WAMESHINDA KWASABABU YA UDHAIFU WA GEITA ILA SIO KWASABABU WAO NI BORA SANA NO!#Okraaa Mtu Na Nusu🙌🏿Chama Tushamsifia Sana
Kwa leo
Yanga awafikirii kuongoza ligi, uko walishapita. Yanga wanafikiria ubingwa wa un beaten.Nyie mtaongoza lini unadhani..?jioni hii hii azam anatoka na clean see
Kumbe polisi walikuwa wanashuka daraja?Sasa mbona kama unazungusha mada..ww umesema timu ndogo haya ndogo tumefunga tatu nyie polisi ilokua inashuka daraja na nyie timu kubwa mbona hamjafunga 8?.
Baby ulivyo na furaha nafikiri nitafaidi sana😘😘😘🤣🤣🤣Okrah anatabasamu tuu yani ana u feel mpira
...SIMBA WAMECHEZA KAWAIDA SAAAAA ,HAWASISIMUI WALA HAWASHTUI....ZORAN ANAKAZI KUBWA SANA BADO.......WAMESHINDA KWASABABU YA UDHAIFU WA GEITA ILA SIO KWASABABU WAO NI BORA SANA NO!#Okraaa Mtu Na Nusu[emoji1544]Chama Tushamsifia Sana
Furaha yenyewe ya kulazimisha. Kolo mnajisahaulisha kipigo cha mayele.Sa unajiskiaje kwamba HATIMAYE tuna furaha???
Azam ngapi uko?Nyie mtaongoza lini unadhani..?jioni hii hii azam anatoka na clean see
1-1 ukoNyie mtaongoza lini unadhani..?jioni hii hii azam anatoka na clean see
Sijamuelewa huyu JamaaKocha Zaron Maki ningependa kuona leo anamuanzisha Dejan Georgijevic
View attachment 2326342
Furaha yenyewe ya kulazimisha. Kolo mnajisahaulisha kipigo cha mayele.
1-1 uko
Kaa kwa kutuliaKuna mbeya city kashinda 3 nyie vigoli vya bahati bahati vitawaponza
Au hawezi kujiposition.Tatizo hakuna watoa pasi nzuri
Tunaona juhudi binafsi ya wachezaji ila kocha anatia mashaka.
Sio shida mbona dejan amemleta yeye bado hatuoni maajabu?Tatizo usajili ulifanyika bila kocha
Nomekielewa [emoji3][emoji3]shida ya mzinga wa nyuki ndo hii.
Aliyechokoza mwingine tabu wanakuja kupata wengine