FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Geita Gold | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Agosti 17, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Geita Gold | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Agosti 17, 2022

...SIMBA WAMECHEZA KAWAIDA SAAAAA ,HAWASISIMUI WALA HAWASHTUI....ZORAN ANAKAZI KUBWA SANA BADO.......WAMESHINDA KWASABABU YA UDHAIFU WA GEITA ILA SIO KWASABABU WAO NI BORA SANA NO!#Okraaa Mtu Na Nusu🙌🏿Chama Tushamsifia Sana
Kwahyo walikua wanacheza kwaito..ila sio mbaya kuanzia hapo kwenye # umeongea pwenti
 
Sasa mbona kama unazungusha mada..ww umesema timu ndogo haya ndogo tumefunga tatu nyie polisi ilokua inashuka daraja na nyie timu kubwa mbona hamjafunga 8?.
Kumbe polisi walikuwa wanashuka daraja?

Watu mna siri😂
 
...SIMBA WAMECHEZA KAWAIDA SAAAAA ,HAWASISIMUI WALA HAWASHTUI....ZORAN ANAKAZI KUBWA SANA BADO.......WAMESHINDA KWASABABU YA UDHAIFU WA GEITA ILA SIO KWASABABU WAO NI BORA SANA NO!#Okraaa Mtu Na Nusu[emoji1544]Chama Tushamsifia Sana

Wasisimue ili iweje mzee hii ni ligi magoli mengi,clean sheets na points 3 ndo muhimu hayo mengine fanyeni nyie
 
Kila mnyonge na mnyonge wake sijaona kikosi cha kucheza vs yanga
 
Kocha bado hajawajua wachezaji wake.ndo maana mechi na utopolo alipanga kikosi dhaifu.
Ila mechi ile ya wale waethiopia na hii na geita kapanga full mziki.
Nadhani utopolo walikuwa na bahati kupangiwa kile kikosi
Tunaona juhudi binafsi ya wachezaji ila kocha anatia mashaka.
 
Back
Top Bottom