Mkuu MENEMENE TEKERI NA PERESI Umefaulu mtihani wangu, niliposema kuwa leo Kocha Zaron ningependa kuona leo anamuanzisha Dejan Georgijevic nilikuwa na maana hii.Kila la kheri mnyama sisi nyuma yako na dua zetu ni nyingi ila babu Zoran natamani umpe dakika tisini , ndugu Dejan ili tupunguze utata huku uswahilini
Mbwa koko umefufukaMwana kulifind Mwana kuliget...
#NguvuMoja
Tutawafunga magoli na wengine midomoKama Kocha Zaron atafanyia kazi mapungufu yote, leo Wachimba Madini watatusamehe yaani.. Nguvu Moja
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] utamfunga mdomo nani tena wakati ushakalia SINDANO??Tutawafunga magoli na wengine midomo
Hakika mkuu hata hivyo ni suala la muda tu kabla ile Simba tunayoitaka haijarudi kwenye ubora wake wa kuwapa mateso wapinzani.Hii comment inanikumbusha mbali hukooo, misimu bora ya back to back ya Mnyama wakati Gongowazi hajui kama atachukua ubingwa..!