FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Geita Gold | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Agosti 17, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Geita Gold | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Agosti 17, 2022

Baada ya kupona majeraha ya moyo, naendelea kulisapoti Chama langu Simba sc!!!

Nimegundua Simba Sc ndo demu pekee ambaye siwezi kumwacha maishani!!!
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Baada ya kupona majeraha ya moyo, naendelea kulisapoti Chama langu Simba sc!!!

Lazima msako utembee vilivyo, lazima na mapambano yaendelee.. Nguvu Moja [emoji881]
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kizibo hauko mwenyewe mkuu , huyo demu tunashare wengi na daima tutaishi naye hayupo moyoni tu ila damuni.

Nenda Simba kafanye iwe , sisi zetu dua
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Mayeleeeeeeeeeeeeeeee Maaamaaaeeeeee
YANGA 1-1 SIMBA DK 50
20220814_010008.jpg
 
Refa atawabeba leo mikia...hivyo basi mtashinda. Maana saikolojia yenu imevurugwa kabisa.
 
Hii comment inanikumbusha mbali hukooo, misimu bora ya back to back ya Mnyama wakati Gongowazi hajui kama atachukua ubingwa..!
Hakika mkuu hata hivyo ni suala la muda tu kabla ile Simba tunayoitaka haijarudi kwenye ubora wake wa kuwapa mateso wapinzani.
 
Back
Top Bottom