FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Mbeya City | Uwanja wa Mkapa | Juni 16, 2022

63' Ametoka Sakho na Kibu na nafasi zao zimechukuliwa na Kagere na Banda

Simba SC 2-0 Mbeya City
 
Ametoka Nonga na ameingia Joseph upande wa Mbeya City
 
Banda Goooooooooooooaaal

Peter Banda anaipatia Simba SC bao la tatu akipokea pasi kutoka kwa Mhilu

Simba SC 3-0 Mbeya City
 

3-0
 
Uchezaji huu wa Simba hautufikishi popote na huyu Matola kumbe ndiye mharibifu wa benchi la ufundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…