FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Mbeya City | Uwanja wa Mkapa | Juni 16, 2022

Cheo cha ushauri umekipatia wapi?

Mbona hatukuambiwa na mmiliki wa JF kuwa kunaye mshauri humu?
Uzi kutokuwa na wachangiaji kunaonesha namna gani unatakiwa kufutwa uzi huu..

Watu mpo wanne mnaongea nini sasa? Na mmeshinda mnaenda wapi sasa.?

Waufute tu.
 
Kitendo cha huu uzi kuwa na watu kama 10 tu kinaonesha namna gani mlivyo na mfadhaiko..

Wenzio wamelala wewe upo hapa unaweweseka ..

Kwahyo mkishinda mnaenda wapi sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kitendo cha watu kuwa wachache maana yake watu wamedharau mechi haina upinzani kulingana na weakness ya opponent wanaye m-face

Mechi ya simba day tulicheza kwa malengo ya tukishinda tunapata nini?
 
Uzi kutokuwa na wachangiaji kunaonesha namna gani unatakiwa kufutwa uzi huu..

Watu mpo wanne mnaongea nini sasa? Na mmeshinda mnaenda wapi sasa.?

Waufute tu.
Kwasababu kuna boya wa 5 kaingilia uzi na tupo kumjibu the way anavyo hoji
 
Kwasababu kuna boya wa 5 kaingilia uzi na tupo kumjibu the way anavyo hoji
Boya yupi huyo tumtafute?
Maana kafanya jambo la ajabu kuliko yote.

Kafufua wafu waliokufa, ni maajabu.
 
Kitendo cha watu kuwa wachache maana yake watu wamedharau mechi haina upinzani kulingana na weakness ya opponent wanaye m-face

Mechi ya simba day tulicheza kwa malengo ya tukishinda tunapata nini?
Hata mkicheza na mazembe leo, kugombea nini?

Haya tufanye basi mmecheza na yanga mmeshinda je mnapewa nini? Au ndio ile nani zaidi sio?πŸ˜‚

Basi mmechukua kombe ofsa punguza hasira
 
Uchezaji huu wa Simba hautufikishi popote na huyu Matola kumbe ndiye mharibifu wa benchi la ufundi
Umeweka avatar ya ubingwa kuonesha jinsi gani una usongo

Inaonekana ni jambo ambalo mlikuwa mnalisubiria kwa kipindi kirefu sana na leo mmelipata basi mnalipiza miaka yote mi 4 ambayo hamkupata kitu

Nakushaurini mngefanya namna kwenye siku hizi mbili tatu nmsherekee na miaka mi 5 mingine kabisa maana hamtaliona tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…