Acha kulazimisha bnaa hizo hasira umeziona?Mbona hasira kolo wa kike? Taratibu 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kulazimisha bnaa hizo hasira umeziona?Mbona hasira kolo wa kike? Taratibu 😂
Kitendo cha huu uzi kuwa na watu kama 10 tu kinaonesha namna gani mlivyo na mfadhaiko..Ubingwa mmepata Ila bado mnastress
Basi hongereni simba kwa kuchukua kombe la ligi kuu 😂Acha kulazimisha bnaa hizo hasira umeziona?
Cheo cha ushauri umekipatia wapi?Mods futeni huu uzi,hauna watu wala tija yoyote wanatujazia server
Halafu tunajisifu tumeua.Bomu mochwari
Uzi kutokuwa na wachangiaji kunaonesha namna gani unatakiwa kufutwa uzi huu..Cheo cha ushauri umekipatia wapi?
Mbona hatukuambiwa na mmiliki wa JF kuwa kunaye mshauri humu?
Kitendo cha watu kuwa wachache maana yake watu wamedharau mechi haina upinzani kulingana na weakness ya opponent wanaye m-faceKitendo cha huu uzi kuwa na watu kama 10 tu kinaonesha namna gani mlivyo na mfadhaiko..
Wenzio wamelala wewe upo hapa unaweweseka ..
Kwahyo mkishinda mnaenda wapi sasa 😂😂😂
AiseeeKitendo cha huu uzi kuwa na watu kama 10 tu kinaonesha namna gani mlivyo na mfadhaiko..
Wenzio wamelala wewe upo hapa unaweweseka ..
Kwahyo mkishinda mnaenda wapi sasa 😂😂😂
Ndiyo ya baba yangu mudi 😂Hiyo Server ni ya baba yako?
Kwasababu kuna boya wa 5 kaingilia uzi na tupo kumjibu the way anavyo hojiUzi kutokuwa na wachangiaji kunaonesha namna gani unatakiwa kufutwa uzi huu..
Watu mpo wanne mnaongea nini sasa? Na mmeshinda mnaenda wapi sasa.?
Waufute tu.
Boya yupi huyo tumtafute?Kwasababu kuna boya wa 5 kaingilia uzi na tupo kumjibu the way anavyo hoji
Banda Goooooooooooooaaal
Peter Banda anaipatia Simba SC bao la tatu akipokea pasi kutoka kwa Mhilu
Simba SC 3-0 Mbeya City
Hata mkicheza na mazembe leo, kugombea nini?Kitendo cha watu kuwa wachache maana yake watu wamedharau mechi haina upinzani kulingana na weakness ya opponent wanaye m-face
Mechi ya simba day tulicheza kwa malengo ya tukishinda tunapata nini?
Si GSM amehonga kwani hujui mzee?kakolanya anatema mipira ambayo anaimudu kudaka
Ni mechi ya kulipa kisasiBomu mochwari
na wewe ni wa 11 😂Kitendo cha huu uzi kuwa na watu kama 10 tu kinaonesha namna gani mlivyo na mfadhaiko..
Umeweka avatar ya ubingwa kuonesha jinsi gani una usongoUchezaji huu wa Simba hautufikishi popote na huyu Matola kumbe ndiye mharibifu wa benchi la ufundi