umejitahidi sana kushinda humu ukipostHata mkicheza na mazembe leo, kugombea nini?
Haya tufanye basi mmecheza na yanga mmeshinda je mnapewa nini? Au ndio ile nani zaidi sio?😂
Basi mmechukua kombe ofsa punguza hasira
Nalala akili zikiwaza msimu ujao
Simba ikicheza mashindano yeyote ya hapa TZ huwa haitegemei ku gain chochote ambacho kwa level yao kitakuwa worthHata mkicheza na mazembe leo, kugombea nini?
Haya tufanye basi mmecheza na yanga mmeshinda je mnapewa nini? Au ndio ile nani zaidi sio?😂
Basi mmechukua kombe ofsa punguza hasira
Ufundi Gani Wa Soka Mlokuwa Nao Nyie Buku Buku Fc "Wazee Wa Michango", Au Mna Inspire Izo Timu Zingine Kwa Ufundi Huu Hapa [emoji116]Simba ikicheza mashindano yeyote ya hapa TZ huwa haitegemei ku gain chochote ambacho kwa level yao kitakuwa worth
Zaidi ni kuwa inacheza ili kutoa burudani na ku reveal ufundi wa soka kwa vilabu vya hapa vijifunze, vilabu ambavyo vimekuwa inspired na Simba
Ujui ngoja nikujilishe.Hii mechi ni ya kombe gani?? Wanagonbea ubingwa wa nini hawa???
Tatizo ujacheza hata cha ndimu.Leo simba akishinda goli 4 anaenda kucheza UEFA Champions League.
HahaaaaBut how long will we fall,
For how long will we fall,
Before we can climb?
And will this get too hard,
Will we even get far,
Will our words suffice?
it's our time!.
Sasa ulitaka walie? Yani nyie utopolo malopolopo kweli ya simba yanakuhusu nini badala ushangilie ka ubingwa kenu mlikokapata kwa kuchokaaaa mnoooo baada ya kudundwa 4yrs I mean 4 yrs respectivelyEti washabiki simba walikuwa wanashangilia yale magoli yao kwa nguvu kubwa sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Mmekutana na wachovu tuu walePiga kelele kwa lunyasi akee
Hata nyie wachovu tuu sema huwa mnatupaniaMmekutana na wachovu tuu wale
Kweli kabisa sie mbeya city tumejichokea kabisa....anyways score board inasema 1-1 tukutane nwxt seasonHata nyie wachovu tuu sema huwa mnatupania