FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Mbeya City | Uwanja wa Mkapa | Juni 16, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Mbeya City | Uwanja wa Mkapa | Juni 16, 2022

Tumpeni timu matola na wachezaji wote waachwe kama walivyo
 
Hata mkicheza na mazembe leo, kugombea nini?

Haya tufanye basi mmecheza na yanga mmeshinda je mnapewa nini? Au ndio ile nani zaidi sio?😂

Basi mmechukua kombe ofsa punguza hasira
Simba ikicheza mashindano yeyote ya hapa TZ huwa haitegemei ku gain chochote ambacho kwa level yao kitakuwa worth

Zaidi ni kuwa inacheza ili kutoa burudani na ku reveal ufundi wa soka kwa vilabu vya hapa vijifunze, vilabu ambavyo vimekuwa inspired na Simba
 
Ufundi Gani Wa Soka Mlokuwa Nao Nyie Buku Buku Fc "Wazee Wa Michango", Au Mna Inspire Izo Timu Zingine Kwa Ufundi Huu Hapa [emoji116]
ll.jpg
 
Hii mechi ni ya kombe gani?? Wanagonbea ubingwa wa nini hawa???
Ujui ngoja nikujilishe.
Mshindi wa kwanza na wa pili kwenye ligi anacheza CAF Champion.mshindi wa tatu na wanne anacheza CAF shirikisho.
sijui umeelewa?
 
Eti washabiki simba walikuwa wanashangilia yale magoli yao kwa nguvu kubwa sana [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Eti washabiki simba walikuwa wanashangilia yale magoli yao kwa nguvu kubwa sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa ulitaka walie? Yani nyie utopolo malopolopo kweli ya simba yanakuhusu nini badala ushangilie ka ubingwa kenu mlikokapata kwa kuchokaaaa mnoooo baada ya kudundwa 4yrs I mean 4 yrs respectively
 
Back
Top Bottom