FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Haya matimu yenu ya Yanga na Simba Huwa ni kubebwa na kuhonga ndio yanashinda..

Ukiangalia Mbeya City inavyocheza unashangaa Huwa mnaenda kununua hayo machezaji na kuyalipa pesa ndefu Kwa kipi hasa?
 
Hii sub ya Chama na Bocco inawezekana kuna tatizo la kiufundi kocha ameliona..
 
Huyu kocha, soka lake sio la kushambulia sn, yy anahusudu soka la kupaki bus na kushambulia kwa kushtukiza....subri tuone itakuwaje msimu huu
 
Dah kocha mupya analeta za kuleta huenda ni wakala wa Uto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…