FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Mhh Mgunda namuona anamwangilia huyu kocha robetinyo kwa jicho fulani hivi
 
Simba anashinda mechi lkn ubingwa nahis yanga atachukua....huyu kocha ni mzuri kimataifa lkn huku yeye alisema hataki NBC premier league
 
Haya matimu yenu ya Yanga na Simba Huwa ni kubebwa na kuhonga ndio yanashinda..

Ukiangalia Mbeya City inavyocheza unashangaa Huwa mnaenda kununua hayo machezaji na kuyalipa pesa ndefu Kwa kipi hasa?
Siku moja jaribu kuangalia game ya hao mbeaya city wakicheza na ruvu shooting, ndio utajua mpira wa bongo haueleweki.
 
Tumshukuru Kanoute bila rafu yake ingekuwa zahma saizi
 
43''Kanoute anaonyeshwa Kadi ya Njano kwa kumchezea madhambi Khimbwa
 
Huyu kocha hamalizi msimu. Wangemuachia mgunda timu amalize msimu.
Huyu kocha akifanya vibaya binafsi nita confirm pale kuna uchawi na hujuma. Tumepata kocha aliyefanikiwa kila alipofundisha! Kwanini afeli Simba? Tuache ushabiki tuamini benchi la ufundi la wachezaji. Game haijaisha hii

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom