FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Kocha anashindwa kujiuliza kwanini Chama kapewa tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi?
 
Watu wame maindi majukwaani hawataka kumuelewa kocha
 
Mgunda anataka kiti cha ukocha, kwa akili za waafrika ni ngumu kutoa full support Bali unafiki unakuw mwing na kupigana spana za chini
 
Chama Pamoja Na Ku assist Goli lakini Ametoka Labda Kuna Sababu za Msingi Ila Kocha Ajue Kuwa Chama Mshahara wake ni Mkubwa na Hawa Mbeya City Huwa Wanatusumbua

Asilete za Kuleta
 
Back
Top Bottom