Kuumia jambo lingineKumbe tunamtegemea Chama kama kamungu ketu kadogo, kama akiumia itakuaje?
Nani kakukatisha tamaa mrembo?Mhhh nimekatishwa tamaa
Badae Uzi WA kumuelezea chama uanzishwe maana sio Kwa misifa hio anayopewa,Kocha yoyote anayekuja Simba anatakiwa ajue kama Chama haingii kwenye mfumo wake, basi yeye aingie kwenye mfumo wa Chama.
Sisi sio utopolo, hakuna mungu mtu Simba, hizi kelele zinashangaza sana..Kawaida kwa timu ya mpira wakati mungine. Leo arsenal wanaombea odegadi asiumie tu. Hata kule utopoloni wanakesha na kufunga mayele asiumwe hata malaria
Dua yangu iwe hivyoHuyu mzungu atatusaidia kuwaamini makocha wazawa. Maana sidhani Kama atamaliza mechi nne.
Niliandika humu nikatukanwa
Kama mnamuamini Chama zaidi ya kocha, basi kuanzia leo Chama awe kocha mchezaji....Kuumia jambo lingine
Kama mchezaji hafai anapaka rangi, atoke Kwa nn maana ya Sub's, 😲Huwezi kuleta kocha katikati ya msimu. Aanze falsafa mpya. Wachezaji waizoee. Mgunda wachezaji walitulia na timu ilicheza vizuri. Huyu kipindi Cha kwanza sub mbili. Hasara juu ya hasara.
Ameshaaigawa timu tayariHuwezi kuleta kocha katikati ya msimu. Aanze falsafa mpya. Wachezaji waizoee. Mgunda wachezaji walitulia na timu ilicheza vizuri. Huyu kipindi Cha kwanza sub mbili. Hasara juu ya hasara.
Ni ya kipuuzi imefanywa na msenge mzunguHii sub vipi jamani
KochaNani kakukatisha tamaa mrembo?
Sijaelewa kwakweliNi ya kipuuzi imefanywa na msenge mzungu
Imagine Kocha amtoa Mayele na kumungiza yule floop wa New CastleSisi sio utopolo, hakuna mungu mtu Simba, hizi kelele zinashangaza sana..
Kiyombo kawafunga wazungu wewe goli mbili.Kocha anashindwa kujiuliza kwanini Chama kapewa tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi?
Ajabu sana, Mesi mwenyewe anatolewa! Siku hizi mpira wa kisasa ni mifumo sio mtu! Mfano tunao hapa hapa kwa Nabi!Kumbe tunamtegemea Chama kama kamungu ketu kadogo, kama akiumia itakuaje?