FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Wabongo tuna midomo mirefu sana,hatuna uvumilivu kabisa[emoji107][emoji107][emoji107][emoji107]
Simba ikishinda wale wale wanaomponda kocha wataanza kuleta pongez za kinafk.

Binafsi nampa kocha 3 more games,as for now imma just be the observer.
 
Huwezi kuleta kocha katikati ya msimu. Aanze falsafa mpya. Wachezaji waizoee. Mgunda wachezaji walitulia na timu ilicheza vizuri. Huyu kipindi Cha kwanza sub mbili. Hasara juu ya hasara.
Makosa yalifanyika kwa kuchelewa kuleta kocha ila Simba inahitaji kocha zaidi ya Mgunda. Huwezi kwenda kwenye game ngumu klabu bingwa na kocha asiye na experience yeyote. Hata akina Kibaden walishajaribu mara nyingi kabla ya kufanikiwa.

Mgunda anapata experience kwasasa kwenye maeneo mengi ambayo hana. Mgunda hajawahi kusimamia technical team pana kama ya Simba inahitaji management skills na mengi ikiwemo matumizi ya technology.

Huyu kocha sio mbovu, anajenga timu na hiyo hatuwezi kuiona overnight na amekaa na timu hata wiki bado.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Stats za AZAM zinadai Simba haina shot Off target!!!!!


Hii imekaaje wakati muda mfupi uliopita tu wametoka kuonesha replay ya shuti la Muhammed Hussein lililoenda nje ya lango la kupiga mtamba wa panya ule wa juu??
 
Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Mkapa Simba SC 1-1 Mbeya City
 
Kwa mpira huu akija mgeni kuangalia hii game asiyejua timu yoyote, akiulizwa timu iliyoweka kambi Dubai atakwambia ni Mbeya City
 
Yanga inacheza bila wachezaji senior mfn ,azzik , Morrison,feitoto,na bangala na Bado Ni Moto juu ya moto

Yanga msimu huu Ni wake tu kwa Mara nyingine tena

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nabi kajenga mfumo hategemei mtu! Simba tunataka mpira wa kujazana upepo na vipaji binafsi tu kizamani! Ndio maana tukipata kocha mjanja kiufundi hatutoboi na mfano ni Nabi alivyotutesa. Tuache Kocha afanye kazi

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…