ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu - Sir Alex Ferguson
Changamoto Benchi Unabaki Na Nani? Kipindi Cha Pili Tukiharibu Nani Ata Correct Toka Kwenye Benchi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu - Sir Alex Ferguson
Nafasi ya 3 ilikuwa yetuNami nilikua mfuasi wa Mgunda taleast angemaliza msimu
Makosa yalifanyika kwa kuchelewa kuleta kocha ila Simba inahitaji kocha zaidi ya Mgunda. Huwezi kwenda kwenye game ngumu klabu bingwa na kocha asiye na experience yeyote. Hata akina Kibaden walishajaribu mara nyingi kabla ya kufanikiwa.Huwezi kuleta kocha katikati ya msimu. Aanze falsafa mpya. Wachezaji waizoee. Mgunda wachezaji walitulia na timu ilicheza vizuri. Huyu kipindi Cha kwanza sub mbili. Hasara juu ya hasara.
Huwa wanashauriana kabla ya kufanya subKwahyo inawezekana mgunda kamwambia awatoe Chama na Bocco ili tupigwe??
Hua anatoka anaigia ClementImagine Kocha amtoa Mayele na kumungiza yule floop wa New Castle
Nabi kajenga mfumo hategemei mtu! Simba tunataka mpira wa kujazana upepo na vipaji binafsi tu kizamani! Ndio maana tukipata kocha mjanja kiufundi hatutoboi na mfano ni Nabi alivyotutesa. Tuache Kocha afanye kaziYanga inacheza bila wachezaji senior mfn ,azzik , Morrison,feitoto,na bangala na Bado Ni Moto juu ya moto
Yanga msimu huu Ni wake tu kwa Mara nyingine tena
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
At last,comment ya mtu timamu.Huyo Mgunda mngemponda tu! Sisi mashabiki ndio tatizo. Tuache timu icheze kwa mipango yake tuwalaumu after game. Inawezekana Chama hayuko kwenye form wamuache kwa kuogopa mashabiki?
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app