Off target sio kupiga tuuu Boramladi umepiga mshutiii,Stats za AZAM zinadai Simba haina shot Off target!!!!!
Hii imekaaje wakati muda mfupi uliopita tu wametoka kuonesha replay ya shuti la Muhammed Hussein lililoenda nje ya lango la kupiga mtamba wa panya ule wa juu??
Clear Penati
Imepaa kwa ndani.Hii penalt simba watapaisha
Wewe na nani mkuu?Tulikuwa Offside Mkuuu
Subiri ya pili watapaishaHii penalt simba watapaisha
Huyu tukae nae 2 yrs mtaona. Hakuna short cut! Mashabiki wapo radhi Chama atembee uwanjani ila usimtoe! Tuhukumu after game tutajua kilichotokea.Huyu kocha ndicho anachofanya, ile Vipers yake licha ya kumuuza Manzoki bado iliendelea kuwa moto wa kuotea mbali, utopolo ni mashahidi wa hili...
Sijawahi ona pressure za ajabu kama nilizoona leo toka kwa mashabiki wa Simba JF, kama kocha angekuwepo huku, masikini kesho angefungasha arudi kwao..Huyu tukae nae 2 yrs mtaona. Hakuna short cut! Mashabiki wapo radhi Chama atembee uwanjani ila usimtoe! Tuhukumu after game tutajua kilichotokea.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Basi kausha mwana. Mengine njoo pmTulikuwa Offside Mkuuu
Mtani kunywa maji kwanza ushushe pumzi, naona hadi herufi ya mbele unaipeleka nyuma na ya nyuma unaipeleka mbele relax mtani πππππππNami nilikua mfuasi wa Mgunda taleast angemaliza msimu
Bahasha sio ?....Gooooal, Simba 2