FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Stats za AZAM zinadai Simba haina shot Off target!!!!!

Hii imekaaje wakati muda mfupi uliopita tu wametoka kuonesha replay ya shuti la Muhammed Hussein lililoenda nje ya lango la kupiga mtamba wa panya ule wa juu??
Off target sio kupiga tuuu Boramladi umepiga mshutiii,
 
Huyu kocha ndicho anachofanya, ile Vipers yake licha ya kumuuza Manzoki bado iliendelea kuwa moto wa kuotea mbali, utopolo ni mashahidi wa hili...
Huyu tukae nae 2 yrs mtaona. Hakuna short cut! Mashabiki wapo radhi Chama atembee uwanjani ila usimtoe! Tuhukumu after game tutajua kilichotokea.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Huyu tukae nae 2 yrs mtaona. Hakuna short cut! Mashabiki wapo radhi Chama atembee uwanjani ila usimtoe! Tuhukumu after game tutajua kilichotokea.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Sijawahi ona pressure za ajabu kama nilizoona leo toka kwa mashabiki wa Simba JF, kama kocha angekuwepo huku, masikini kesho angefungasha arudi kwao..

Walilalamika wote kwa nguvu utadhani tulishafungwa! Kumbe ndio tunaongoza 2-1!
 
Nami nilikua mfuasi wa Mgunda taleast angemaliza msimu
Mtani kunywa maji kwanza ushushe pumzi, naona hadi herufi ya mbele unaipeleka nyuma na ya nyuma unaipeleka mbele relax mtani 😂😂😂😂😂😂😂
Taleast - At least
 
Back
Top Bottom