FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Faulo gani ile jamani Simba, jamaa kacheza mpira na hajamgusa Sakho.
 
KADI ya pili kwa Madeleke..Ni KADI Nyekundu baada kumchezea madhambi Sakho
 
Nimepemda uungwana wa yule mchezaji wa Mbeya city aliyekuwa anataka kubeba msalaba wa mchezaji mwenzake Tarick Seif kwa kuchukua kadi ya njano kwasababu aliona mwenzake tayari ana kadi ya njano hivyo akipigwa ya pili itakuwa red
 
Mimi humu nipo kibiashara zaidi. Ilipopatikana penati, elfu tano yangu imezaa elfu ishirini. Nasubiri kama kutakuwapo red card ili elfu tano nyingine izae elfu sabini. Hapa naombea hata Kanoute apewe umeme
Chukua 70 yako jina litatokea Samson madeleke
 
Haya 7 nyingine tuta nyie, nyekundu nyie sijui mpewe nini. Madogo washapanic jipigieni.
 
Hakuna Cha kocha hapo . Ashukuru penalti na uwezo wa sakho. Hamna kitu hapo.
Mbona Mgunda hukusema anabebwa na Chama? Tuwe watulivu kuisaidia timu. Uto wameshinda goli moja la tabu juzi wametulia ila sisi tuna pressure mno na inahamia kwa viongozi hadi wachezaji.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Nabi alikuwa anatuzidi akili hasa kipindi cha pili, kipindi cha kwanza tunacheza sisi jamaa akitusoma akienda HT anafanya changes kimbinu, kipindi cha pili kikianza moto unahamia kwetu, Mgunda anabaki kushangaa tu..

Mechi nyingi tumepigwa na uto kipindi cha pili, hasa ile ya Ngao ya Jamii Mayele.. kwa huyu kocha sasa kazi wanayo...
Mnauwezo wa kumvumilia kocha mpaka mechi ya Yanga? Mechi mmeshinda ila bado wenzenu hapa nilipo wanalalamika "sio mpira wetu....".
 
Chama ndio Zidane wa timu, huyu kocha kama hana mpango na Chama na sisi hatuna mpango nae, aondoke.

Halafu mapenzi yake na yule rasta mvuta bangi yananipa mashaka kuhusu uwezo wake wa kutambua kipaji.
 
Back
Top Bottom