yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,520
- 4,526
Maamuz aliyofanya yamechangia. Watu wamekariri chama chama kila sku.Ni uwezo Wa Wachezaji Hapo Sio Kocha Angalia Timu inavyocheza, Kibu Anakimbia Kimbia Tuuu hata Maamuzi hana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maamuz aliyofanya yamechangia. Watu wamekariri chama chama kila sku.Ni uwezo Wa Wachezaji Hapo Sio Kocha Angalia Timu inavyocheza, Kibu Anakimbia Kimbia Tuuu hata Maamuzi hana
Nawazoom tu wanafk nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama kawaida ya mpira
Mashabiki utafikiri sio sisi tuliokuwa tume maindi sub ya Chama
Nabi alikuwa anatuzidi akili hasa kipindi cha pili, kipindi cha kwanza tunacheza sisi jamaa akitusoma akienda HT anafanya changes kimbinu, kipindi cha pili kikianza moto unahamia kwetu..Kocha ame change kwa kuvunja double striker na kutumia mawinga. Hata game ya Yanga vs Simba tuliikamata Yanga kipindi cha kwanza Nabi akaingiza mawinga wawili tukapoteana. Mimi Yanga siogopi mchezaji yeyote namuogopa Nabi kimbinu.
Sasa naona Nabi kapata mtu wa kumchallenge kimbinu. Ingekuwa kocha mwingine tungesubiri hadi Chama afanye miujiza lakini huoni mabadiliko kimbinu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nawazoom tuTumerudi kupongeza Mkuu kama ulikuwepo
Hiyo kukimbia unafikiri haina kazi? Work rate na kuzuia na kushambulia kuna watu si chini ya wawili hawatapumua hapo. Mpira umebadilika sanaNi uwezo Wa Wachezaji Hapo Sio Kocha Angalia Timu inavyocheza, Kibu Anakimbia Kimbia Tuuu hata Maamuzi hana
Lakini bado nimem-maindi yule KochaTunaendeshwa na mihemko sana
Chama soft, awapishe wenye miguvu yao kina Kibu, game zake soft zipo...Mbona kama mieleka
Mashabiki vipi? Mko upande gani baada ya 3-1
Hata ss tumeambiwa hvo hapo juuNaona wenzetu kwenu safi
TunGefanya yanga tungeambiwa bahasha imetembea