FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Kocha ame change kwa kuvunja double striker na kutumia mawinga. Hata game ya Yanga vs Simba tuliikamata Yanga kipindi cha kwanza Nabi akaingiza mawinga wawili tukapoteana. Mimi Yanga siogopi mchezaji yeyote namuogopa Nabi kimbinu.

Sasa naona Nabi kapata mtu wa kumchallenge kimbinu. Ingekuwa kocha mwingine tungesubiri hadi Chama afanye miujiza lakini huoni mabadiliko kimbinu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Nabi alikuwa anatuzidi akili hasa kipindi cha pili, kipindi cha kwanza tunacheza sisi jamaa akitusoma akienda HT anafanya changes kimbinu, kipindi cha pili kikianza moto unahamia kwetu..

Mgunda anabaki kushangaa tu..

Mechi nyingi tumepigwa na uto kipindi cha pili, hasa ile ya Ngao ya Jamii Mayele.. kwa huyu kocha sasa kazi wanayo...
 
Back
Top Bottom