joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hahaha najuta.Dah [emoji848][emoji848]
@Kalpana na Bantu Lady hii ligi iendelezeni basi[emoji16][emoji16][emoji16]Umeharibu kuwa wa kwanza subiri mashambulizi duwa la kuku halimpati mwewe...
Chukua 70 yako jina litatokea Samson madelekeMimi humu nipo kibiashara zaidi. Ilipopatikana penati, elfu tano yangu imezaa elfu ishirini. Nasubiri kama kutakuwapo red card ili elfu tano nyingine izae elfu sabini. Hapa naombea hata Kanoute apewe umeme
Mbona Mgunda hukusema anabebwa na Chama? Tuwe watulivu kuisaidia timu. Uto wameshinda goli moja la tabu juzi wametulia ila sisi tuna pressure mno na inahamia kwa viongozi hadi wachezaji.Hakuna Cha kocha hapo . Ashukuru penalti na uwezo wa sakho. Hamna kitu hapo.
Utakua na vtu vako personal
[/QUOTE
basi tu ukitaka kumuua mbwa unampa jina baya, jiwe moya chali.
Mnauwezo wa kumvumilia kocha mpaka mechi ya Yanga? Mechi mmeshinda ila bado wenzenu hapa nilipo wanalalamika "sio mpira wetu....".Nabi alikuwa anatuzidi akili hasa kipindi cha pili, kipindi cha kwanza tunacheza sisi jamaa akitusoma akienda HT anafanya changes kimbinu, kipindi cha pili kikianza moto unahamia kwetu, Mgunda anabaki kushangaa tu..
Mechi nyingi tumepigwa na uto kipindi cha pili, hasa ile ya Ngao ya Jamii Mayele.. kwa huyu kocha sasa kazi wanayo...
Tatizo pressure[emoji23]Kama kawaida ya mpira
Mashabiki utafikiri sio sisi tuliokuwa tume maindi sub ya Chama
Leo mikeka yangu imekubali. Nina elfu tisini saafi kwa mtaji wa elfu kama kumi hiviKADI ya pili kwa Madeleke..Ni KADI Nyekundu baada kuchezea madhambi Sakho
HahahaYaniiiiiii nilihama channel nawasha nakuta goli 3 kelele nilizopiga nadhani majirani watanisamehe