FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Chama angekuwepo muda huu tuna 5 mkobani.
 
Hii timu siku sio nyingi kocha mzungu atachanganyikiwa, hatajua amuanzishe nani, ngoja hizi mashine zote zikae sawa..

I wish ningekuwa na game mbili na uto nichukue pointi zangu 6..
Hii comment yangu ya mapemaaa, katoka Chama kaingia Kibu na maisha yanaendelea tu kwa upande wetu..
 
Ila Chama ni lazima awepo jamani kuleta udambwi dambwi
 
Sasa huyu refa naye amezidisha kadi sasa mpaka mechi imekisa mvuto

Ndio Sakho alichezewa fouo ila si angeipotezea tu ana kuweka freekick?

Au ndio kusema anakataa ile falsafa ya kubalansi?
 
Sasa huyu refa naye amezidisha kadi sasa mpaka mechi imekisa mvuto

Ndio Sakho alichezewa fouo ila si angeipotezea tu ana kuweka freekick?

Au ndio kusema anakataa ile falsafa ya kubalansi?
Kumchezea mtu faulo kutokea nyuma ni kadi
 
Sasa huyu refa naye amezidisha kadi sasa mpaka mechi imekisa mvuto

Ndio Sakho alichezewa fouo ila si angeipotezea tu ana kuweka freekick?

Au ndio kusema anakataa ile falsafa ya kubalansi?
Hiyo ndo kazi ya Bahasha waliotoa viongozi wenu wanaogombea uenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…