FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Huyu Manula atafutiwe changamoto hapo golini, ikiwezekana apigwe benchi hata game 5 hivi bila sababu ili akili zikae sawa, magoli mengi anafungwa ya kijinga tu maana amekuwa na papara sana.
Kuna dalili hata makosa ya Manula akatupiwa kocha, hawajui uzembe wa Manula umesababisha timu ijihami kulinda goli moja lililobaki..
 
Ni kama vile dubai zilienda kutupwa pesa tu, au nasema uwongo ndugu zangu?
 
Kuna dalili hata makosa ya Manula akatupiwa kocha, hawajui uzembe wa Manula umesababisha timu ijihami kulinda goli moja lililobaki..
Manula tumemsema na si mara ya kwanza, hii ni mara ya pili tena mfululizo

Kama uliona mechi ya mwisho tuliyocheza na Prison alifanya uzembe kama huu na kusababisha tuadhibiwe

Mtu kama Kibu kucheza dakika nyingi kumzidi Chama hiyo ni disrespectful to the fullest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…