FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Japo kufungwa ni sehemu ya mchezo ila jaribu kufanya analysis katika hizo mechi tulizo poteza au ku draw utaona makosa yalikuwa kwa huyo huyo Kibu kwa kukosa mabao ya wazi

Ni mara ngapi Kibu anakosa mabao ya wazi katika mechi ambayo timu ipo kwenye Chemistry na high intensity?
Nimeshakwambia vile key player wako anaweza kucheza na mambo yasiende, yeye sio malaika, wacha kocha atengeneze timu achana na mawazo ya kumtukuza mtu mmoja, siku hizi mpira wa dunia hauko hivyo.

Kibu kuna game huwa anafunga hata goli mbili, sioni sababu kwanini aandamwe kila wakati, au kama unajua sana kufunga, nenda kasajiliwe Simba tukuone, sio unaangalia kwenye TV kazi kulaumu tu...
 
Sijui kwanini kwangu mimi mtu anaeshupaza shingo kumsifia kibu hua naona hajui mpira,mchezaji akili zero, control zero, utulivu zero, kupasia mpira tu shida yeye ni maguvu na mbio si aina ya mchezaji wa kucheza Simba he is a championship player.niko pamoja na wewe.
 
Nimeshakwambia vile key player wako anaweza kucheza na mambo yasiende, yeye sio malaika, wacha kocha atengeneze timu achana na mawazo ya kumtukuza mtu mmoja, siku hizi mpira wa dunia hauko hivyo.

Kibu kuna game huwa anafunga hata goli mbili, sioni sababu kwanini aandamwe kila wakati, au kama unajua sana kufunga, nenda kasajiliwe Simba tukuone, sio unaangalia kwenye TV kazi kulaumu tu...
Hatukatai key player kuwa kuna siku unaweza kuwa na uwiano mbaya kwenye pitch

Na ndio maana tunaangalia statistics, Chama ambaye kachukua uchezaji bora wa mwezi na ndio top assist lakini pia amehusika kwenye mabao karibia 80℅ ya mabao yote ya Simba

Unamtoa Chama dakika ya 31 ambaye muda mfupi katoka ku assist, hapo hajapata majeraha wala hajaomba sub.

Unamuweka Kibu ambaye amechangia kwa asilimia kubwa tuwe nyuma points 6 dhidi ya Yanga na bado huoni tatizo?

Na kwakuthibotisha hilo angalia baada ya kuingia alikosa bao la wazi kabisa tena kwa makosa yale yale ambayo tumezoea kumuona akiyafanya.
 
Ukiiwaza sana Yanga utakonda kolo wewe.
 
Unaandika wee lakini nikikusoma sentensi mbili tu naona hujui unachotetea...

Sasa kocha mpya ndio anakuja kuondoa hiyo biashara kichaa ya Chama kuhusika kwenye mabao 80%..

Huu ushamba mnaoendekeza ndio unafanya utopolo watuzodoe, No Chama, No goal, No assist, hii biashara kichaa ya kumtukuza individual sasa inakwenda kufutiliwa mbali..
 
Sio hao tu kuna wachezaji wengi ambao wanatakiwa wasiongezewe mikataba

Mkude
Bocco
Nyoni
Hussein
Manura
Kibu
Banda
Okra
Chama
Kyombo

Hao mikataba ikiisha watuache
Kuna beki wa kushoto mzawa anayefikia au kukaribia uwezo wa Mo Hussein ?
 
Unaandika wee lakini nikikusoma sentensi mbili tu naona hujui unachotetea...

Sasa kocha mpya ndio anakuja kuondoa hiyo biashara kichaa ya Chama kuhusika kwenye mabao 80%..

Huu ushamba mnaoendekeza ndio unafanya utopolo watuzodoe, No Chama, No goal, No assist, hii biashara kichaa ya kumtukuza individual sasa inakwenda kufutiliwa mbali..
Unategemea utanielewa vipi wakati ukipewa hoja unasoma sentensi mbili?

Ukisema Chama kuhusika kwenye mabao 80℅ ni kazi ya kichaa basi sidhani kama utakuwa umeueshimu mpira.

Usilete zile fikra za zamani kipindi cha utotoni kuamini kwamba kila mwenye rasta basi anacheza sana mpira.

Mpira ni numbers mzee, ndio mizani ya kumpima mchezaji.

Hao Yanga unaowataja ushawahi kuwasikia maoni yao kuhusu Kisinda?

Ni Yanga gani atayeweza kumuelewa Nabi siku atayomtoa Mayele kwa dakika 31 na kumuweka Kisinda kwenye mechi ngumu ambayo wanahitaji matokeo?

Mchezaji mwenye rekodi bora uwanjani ndio anayeuheshimisha mpira mzee, dunia yote inaelewa hivyo

Kumtoa mchezaji mzuri na kuweka mchezaji mbovu kwenye mechi muhimu kwa fikra za kusema kwamba kila mtu acheze hiyo sio futibol.

Kwenye academic za kukuzia vipaji vya wachezaji hilo linawezekana lakini kwenye mechi ngumu na muhimu huwezi ukafanya foolish attempt kama hiyo.
 
Unaonekana mbishi hatari, ajabu unaita uamuzi wa kocha foolish attempt wakati tulishinda!, ndio maana nakwambia una maneno mengi lakini hamna pointi.

Zaidi, unanipa mifano inayoonesha ubovu wa hoja zako, kama wa Yanga wanavyomtegemea Mayele, wakati unaona kila siku anafunga huyo pekee, asipokuwepo mambo yao yanakuwa magumu, kila siku wanashinda 1-0! huu ushamba ndio umeuweka kichwani kwako, ajabu kabisa..!!

Sasa nakupa na mfano uone vile kile unachotetea hakina maana, usipoelewa tena, OVER!.

Nimekwambia mpira wa siku hizi hautakiwi kumtegemea mtu mmoja, kusema mpira ni namba, lakini hizo namba lazima ziendane na ushirikiano wa timu nzima, sio timu haichezi ila inamtegemea mchezaji mmoja aamue matokeo kwa uwezo wake binafsi kama unavyoamini, huu ndio ushamba naokwambia na hautakiwi kuwepo.!

Mfano: Tuliona Simba siku za karibuni ikicheza bila Chama, alikuwa amepewa adhabu ya kufungiwa mechi tatu, kila mmoja hakuwa na uhakika na matokeo, performance ya timu ikawa mbovu, kisa Chama hayupo! huu ndio ushamba naokwambia ambao hautakiwi kuwepo, hapa sio suala la individual statistics au vinginevyo kama unavyodai, ni TEAM PERFOMANCE kwanza...sijui kwanini unakuwa mgumu kuelewa...!!

NB. Individual performance ije pale ambapo game imekuwa ngumu timu haitembei, as a secondary attempt, sio kwenda uwanjani kutegemea ubora binafsi wa mchezaji, vipi akiamka vibaya, na timu haichezi bila yeye na statistics zake kama unavyodai? that's nonsense.

Tchao..!
 
Kwahiyo wewe unavyoona ni vipi kocha atafanya ili timu isiwe tegemezi ya wachezaji kadhaa kama vile Chama?
 
Ishu ya ubishi ni kweli mi ni mbishi tena sana tu hata mtaani niko hivyo, nimejaribu kuishi nje ya mfumo huo nimejikuta nashindwa.

Ebu tuondoke eneo hilo

Mkuu unanipa mashaka kama hizi hoja unazoziweka hapa zinatoka kwa mtu anayeujua mpira

Foolish attempt haiwezi kusawazishwa kwa kuangalia matokeo ya ujumla, foolish attempt inapimwa kwa kuangalia impact ya sub ilivyoingia ilifanya kitu gani kuinufaisha timu?

Kwasababu huo ushindi unaousema umechangiwa na huyo huyo unayefurahia kutolewa, na huyo mchezaji wako Kibu baada ya kuingia alifanya kitu gani cha maana kuisaidia timu i-maintain ushindi au kuiongezea mabao?

Zaidi tunaona ni muendelezo ule uoe ambao tumekuwa tukimuona akicheza hovyo na kuzidi kutuweka kwenye high risk kiasi tutamani mechi iishe ilihali wapinzani wapo outnumber.

Sasa Mkuu kupitia mfano wako wa Mayele hujaona kama unajitukana mwenyewe hapo?

Saizi unaonekana kufurahia Mayele kuendelea kucheza kwasababu yeye ndio mfungaji na ana machango mkubwa ndani ya timu

Wakati huo kwa Chama jambo kama hilo umeliita kuwa ni biashara kichaa

Tukuelewe vipi mzee?

Mpira hautakiwi kumtegemea mtu mmoja lakini ni jambo linalofahamika kuwa mchezaji bora mwenye kiwango bora ndiye mwenye nafasi kubwa ya kucheza muda mwingi kiwanjani kutokana na impact yake.

Kusema namba lazima ziendane na ushirikiano hili ni jambo ambalo wewe mwenyewe unatakiwa kutafakari kabla hujaandika. Kibu tangu ameanza kucheza ni lini uliona ananyimwa ushirikiano kiasi kwamba iwe ndio sababu ya yeye kuwa kwenye kiwango hiki kisicho ridhisha?

Kibu game ya Singida alikosa magoli zaidi ya matatu, zote ni pasi alizokuwa anapewa kupitia ushirikiano na timu mates wenzake

Sasa huo ushirikiano ambao hata mtu akipewa hawezi kuutumia, kuna haja gani ya kuendelea kumtoa mchezaji ambaye ana take advantage kwenye team work na kumuweka mchezaji goi goi ambaye anaigharimu timu?

Sasa mzee mbona unanichanganya??

Chama kukosa mechi tatu ni uzembe wa nani?

Mbona kama una generalize wakati inafahamika tatizo ni nani?

Uliangalia hizo mechi uzembe ulikuwa kwenye nafasi aliyokosekana Chama?

Huo ni uzembe wa mtu mmoja ambaye leo unamtetea ambaue ni Kibu aliyekuwa anakosa magoli ya wazi.
 
Hii unaikumbuka?

1674215241596.png
 
Gazeti la nini sasa, si ujibu kifupi tu.
 
Hapa Mkuu hukufurahishwa na swala la Mgunda kuchelewa kumfanyia sub Kibu kwa poor perfomance aliyokuwa nayo

1674215413797.png
 
Back
Top Bottom