mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Mbumbumbu bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya yalikuwa maneno yako pia[emoji116]Hii timu siku sio nyingi kocha mzungu atachanganyikiwa, hatajua amuanzishe nani, ngoja hizi mashine zote zikae sawa..
I wish ningekuwa na game mbili na uto nichukue pointi zangu 6..
Nguvu moja...πͺπͺπͺPira Biriani..Pira Dubai Pira CSKA Moscow kutoka kwa Mnyama Mkali Mwituni Simba SC [emoji881]
Hata ukaazime wengine Real Madrid, humfungi Yanga.Hii timu siku sio nyingi kocha mzungu atachanganyikiwa, hatajua amuanzishe nani, ngoja hizi mashine zote zikae sawa..
I wish ningekuwa na game mbili na uto nichukue pointi zangu 6..
Bado mapema kiongozi..πππKama halijachukua tuzo ya goli bora lbasi itakuwa ni hujma tu